Sunday, January 4, 2015

HIVI NDIVYO MICHAEL JACKSON WA TANZANIA YANI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOUANZA MWAKA.

Hapo Diamond akiwa kwenye kucheza, yani Diamond kucheza anajua na kuimba anajua.
Diamond 's best accessory  ambaye ni Zari, unaambiwa hivi sasa kila anapopita Diamond basi pembeni Accessory yake ipo yani hivi sasa wanaitwa KANYE NA KIM WA EAST AFRICA...

Zile habari za kutoa kiingilio kikubwa halafu CD ndo inaimba badala ya mwanamziki kuimba Diamond kazikataa, hivi sasa anaimba na LIVE BAND U HEARRRRRDD?
Vimwana wa Rwanda wakingororolishwa


Hivi hiyo nyomi mmeiona wajameni, yani hao watu hawajaja kutazama mpira wala kumtazama JAY ZEE NA BEYONCE, hiyo nyomi ni kwa ajili ya kuja kumtazama DIAMOND tu.yani Diamond kajaza uwanja wa mpira mwanawane, sasa hivi ukiandaa show kwenye ukumbi halafu umuite Diamond basi ujue kuta za ukumbi zitadondoshwa kwa uwingi wa watu, sasa hivi ukiandaa show kwa ajili ya Diamond tafuta uwanja wa mpira mapemaaaaaa ili usije kupata lawama ..yani huo uwingi wa watu mpaka camera imekoma maana imeshindwa kuchukua watu wote, kweli ACHENI DIAMOND AITWE DIAMOND.






Hivi ndivyo msanii wetu expensive Diamond platnumz alivyouanza mwaka huko Kigali Rwanda.



No comments: