tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry.
rahelimacdonald@gmail.com
0713-608524
Sunday, January 4, 2015
KATI YA KIM KARDASHIAN NA CHAGA BARBIE NANI KATOKELEZEA..
WA KATIKATI NI KIM KARDASHIAN, WA PEMBENI NI STELLA TILYA CHAGABARBIE.
Kim alitupia hilo vazi mwaka jana alipokuwa France, na Chaga mwaka huu mwanzoni. we unahisi ni nani katokelezea kati ya mchaga mwenzangu na mmarekani Kim.?
No comments:
Post a Comment