MWANASOKA BORA WA DUNIA LIONEL MESSI
WEMA SEPETU NA ZARI WA DIAMOND.
Kwenye ulimwengu huu wa social media kila kitu watakachofanya mastar basi moja kwa moja huchukuliwa kama jambo kubwa,
Mwanasoka wa Barcelona LIONEL MESSI inasemekana kwamba anataka kuihama team yake na kuhamia CHELSEA, kwanza kabisa siku za hivi karibuni inasemekana Messi amekuwa haonekani kwenye matukio mengi ya team yake ya Barcelona, sasa kilichowafanya watu wadate ni kitendo cha juzi LIONEL MESSI kuamua kuifollow tem ya CHELSEA kwenye mtandao wa instagram, basi mashabiki moja kwa moja wakasema kwamba Messi anataka kuhamia huko na ikizingatiwa kwamba CHELSEA ni moja ya team inayoweza kummudu kimalipo LIONEL MESSI SIUNAJUA MWANAKAKA HUYU NI VEEERYYY EXPENSIVE....
KWA HAPA BONGO BWANA...................leo team Wema wameamkana ya kwao pia, inasemekana Wema kupitia mtandao wa Instagram alipost video, sasa kumbe Zari alikuwa anaiangalia kwa bahati mbaya aka LIKE ile video halafu aka UNLIKE FASTER, hicho kitendo cha ku un like team Wema wamekitafsiri kwamba kumbe Zari huwa anamfollow Wema kwenye mambo mbalimbali, na kumbe ali like ile picha bahati mbaya ndo maana aka unlike faster...
SASA JAMANI TEAM WEMA KWANI ZARI ANAUGOMVI NA WEMA? KWANI WAMECHUKULIANA MWANAUME? WEMA SIALIMUACHA DIAMOND NDO ZARI AKAMCHUKUA. TENA WEMA ALITANGAZA KABISA KAMUACHA DIAMOND, SASA DIAMOND SI ALIKUWA SINGLE JAMANI. NA WE ZARI ULIVYOLIKE PICH YA WEMA KWANINI ULI UNLIKE? KWANI WEMA NI ADUI YAKO? YULE SI NI EX WA DIAMOND TUKAMA WAKINA PENNY NA JOKATE, SASA KAMA ULI LIKE ILE VIDEO UNGEACHA TU HIVYO HIVYO. ANYWAY ngoja nisepe nisije nikala kichambo bure
No comments:
Post a Comment