Sunday, January 4, 2015

KWA WAPENZI WA TANZANITEMOVIES BLOG...



                                 RACHEL KAYUNI TANZANITEMOVIES BLOGGER


Wapenzi nilipumzika kwa muda ili nile skukuu na mimi na sasa leo ndo naanza rasmi kuwaletea mahabari, lengo la blog hii ilikuwa ni kuwaletea habari za movie na waigizaji duniani kote, lakini kutokana na jinsi nilivyombea kila habari nikiiona natamani niwamuvuzishie humu, ila nikawa nashindwa maana blog tayari inaitwa tanzanitemovies yani ni ya movies tu, sasa nimeona isiwe tabu, pamoja na kwamba jina linaitwa tanzanitemovies nitakuwa ninawaletea habari zote za burudani duniani, yani chochote kinachotokea kwenye muziki, uigizaji, mpira,mapishi ,yani kila kitu ntakuwa nawaletea japo habari zitakazochukua nafasi kubwa zitakuwa za movies. nilikuwa nafikiria nibadili jina kwasababu sasa hivi ntakuwa natoa habari mchanganyiko lakini nikawaza kuna watu wengi wameshalizoea hili jina sasa nikibadili ntapoteza viewers.


                       

No comments: