Thursday, January 29, 2015

INGIA UMTAZAME MWANAMZIKI NAZIZI WA KENYA ALIVYOPUNGUA MWILI WOTE




 Yani Naziz enzi zake alikuwa msela flani hivi lakini sasa hv ni bonge la sister duu.
 Nazizi akiwa na mwanae

Huyo ni mwanamziki wa kenya aliyekuwaga kwenye kundi la necessary noise Nazizi wote mnaomjua nadhanimnakumbuka alivyokuwaga bonge well hivi sasa naziz kafanya diet na mazoezi ya nguvu kapungua kama mnavyomuona kwenye picha. Na mimi naanza kesho ubonge mwisho chalinze mwenzangu

Wednesday, January 28, 2015

SHILOLE AWAOMBA RADHI MASHABIKI

Mwanamziki muigiza shilole juzi inasemekana alimpa kisago kitakatifu boyf wake ambaye ni serengeti boy Nuhu mziwanda. Haikufahamika chanzo cha ugomvi ila tu watu hawakupendezwa kuona shilole anampiga kijana wa watu mbele ya kadamnasi.

HAPPY BIRTHDAY MUHESHIMIWA JANUARY MAKAMBA


Tuesday, January 27, 2015

KILICHOJIRI WEEKEND. ZARI WA DIAMOND AFANYA BIRTHDAY PARTY MWANAE




Hizo ni picha zinazomuonyesha Zari akiwa na wanae pamoja na marafiki wa mwanae wakuwa kwenye magari ya kifahari tayari kwa party

KUBWA LILILOJIRI WEEKEND...DIAMOND.PLATUNZ AWA GUMZO LEADERS.

 Ma meeen Diamond akianza show yake.
 Unaambiwa diamond alivaa viatu vinawaka taa leaders nzima
 tukio kubwa lingine alilofanya Diamond ni kufurumusha mvua ya pesa kwa masmashabiki.unaambiwa.alimwaga pesa kila shabiki aliondoka na nauli

 Hiyo style ya michael jackson ILisababisha shangwe za kufa mtu
 
 Wacheza shooo walipendeza na niwasafi mno
Kuna shabiki wa Diamond na Zari aliamua ku show love kwa njia ya kipekee

GAZETI LA MTANZANIA LAMUOMBA RADHI WEMA SEPETU

Gazeti la mtanzania la week iliyopita liliandika habari ya kwamba muigizaji Wema Sepetu kamshtaki aliyekuwa mpenzi wake Diamond kwamba anamdai.sh million kumi. Fedha hizo zikiwa si za Wema bali ni za taasisi ya mkopo ya vikoba. Eti diamobd alimkopea Wema. Anywa hyo story haikuwa ya kweli na gazeti limeomba radhi.ila kila mtu alikuwa anajiuliza kulikoni Diamond ashindwe kulipa million kumi wakati show yame moja ni zaidi ya million kumi.

Saturday, January 24, 2015

HEBU MCHEKI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOSIMAMISHA KAZI KWA MUDA KWENYE OFISI ZA TIGO





Yani unaambiwa jana Diamond alitembelea ofisi za tigo ikiwa ni katika matayarisho ya show kubwa ya tigo kiboko yao itakayojumuisha wanamziki wengi nchini. Kimbembe kilikuja baada ya Diamond kuingia tu ndani ya ofisi hizo wafanyakazi wote walitoka kama mnavyowaona hapo kwenye picha.

EVE COLLECTION THE BEST DESIGHNER IN TANZANIA.





Hiyo ni red collection ya mbunifu wa mavazi nchini Eve collection. Yani Eve jamani nguo zake no nzuri mno yani nikiletewa sijui wakina gucci mi niko radhi nimchague Eve. Yani hizo nguo nimezipenda mno na hywa akimvalisha star yoyote lazima nguo ipendwe na kila mtu huwa hakosei.

HONGERA SANA JESTINA GEORGE.


Blogger Jestina amefungua duks kubwa la vippdozi hapa bongo. Nampa hongera kwasababu inapendeza unapomuona mwanamkeanajishughulisha na kupiga hatua.

PROF MUHONGO AJIUZULU WAZIFA WAKE LEO.


SIKU YA LEO





Tanzanitemovies blogger Rache kayuni
 msiache kutembelea page ya tanzanitemagic na rachelkayini kwenye instagram.

Wednesday, January 21, 2015

AUNT EZEKIEL NA MCHEZA SHOW WA DIAMOND PLATNUMZ MAHABA YAZIDI KUWAKOLEA



Muigizaji Aint ezekiel na mcheza show wa Diamond anayeitwa Moses Iyobohivi.sasa penzilao limezidi kushamiri na hivi karibuni wanatarajiwa kupata mtoto wao wa kwanza hivi karibuni

INASEMEKANA HICHI NDO KILICHOTOKEA KATI YA JACKLINE WOLPER NA COCAKOLA.


Katika pitapita zangu eti nimesikia kwamba muigizaji mrembo Jackline Wolper amekayaa kupiga picha na LE KOPOZ la cocakola mpaka wamlipe. Hivi karibuni kampuny ya vinywaji vya cocakola waliamua kutengeneza soda zenye majina ya watu maarufu na kuwagawia lama zawadi. Kila msanii alipiga picha na le kopoz kwa furaha ya kuona jona lake limeandikwa lakini kwa Wolper hali ilikuwa tofauti. Mwenzangu hata ingekuwa mchaga mie ningedai changu maana hilo ni tangazo ati wakina kim ksrdashisn wanalipwa mamilioni kwa kupiga picha na bidhaa fulani kwa nini mi nipige bure. Ni mawazo tu ola kila mtu anauhuru wa kufanya.atakacho.

Tuesday, January 20, 2015

MUIGIZAJI WA NIGERIA INI EDO AFUATA NYAYO ZA ZARI WA DIAMOND.


Kama mnavyoona kwenye picha huyo ni mwanadada Ini Edo muigiza bei mbaya wa Nigeria ambapo yuko na kiserengeti boy chake wakiwa ndani ya mahaba nilipue kama boko haram.. ini ambae amejinyakulia kiserengeti kama ilivyo kwa Zari alivyojinyakulia serengetiwake . Ini nae pia aliolewa na kudumu kwenye ndoa kwa miaka mitano na mwaka jana mwishoni ndoa hiyo Iilifika ukibgoni. Baada ya picha hizi kuvuja watu wengi wamesema inawezekana mwanadada huyu alianza kusaliti ndoa yake kabla hata ya talaka kwani ni mapema mno kwa yeye kuwa na mtu mpya. Lakini pia inasemekana mumewe pia hivi sasa yuko kwenye mahaba mazito na mwanamke mwingine na ameshatangaza ndoa. Hii itakuwa ndoa ya tatu kwa mwanaume huyo.

Monday, January 19, 2015

MSANII MAARUFU WA MOVIE ZA KINIGERIA AFARIKI DUNIA


Inasikitisha sana msanii huyu anayeitwa Muna kufariki baada ya kuugua kwa muda mchache. Muna alijipatia umaarufu sana kwa kucheza movie nyingi na ma star wenzake wengi wa Nigeria. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi

Sunday, January 18, 2015

VANESA MDEE NA MWANAMZIKI JUMA JUX HIVI SASA NI KAMA JAY ZEE NA BEYONCE



Ununaambiwa hivi sasa Vannesa mdee na Juma Jux wako kwenye mahaba mazito . Walijifichaficha lakini hivi sasa kila kitu hadharani. Sasa hivi imefikia hatua wanashoot video pamoja na wakiwa jukwaani wanaimba pamoja.hayo mambo tulizoea kuyaona kwa beyonce na jay zee lakini hivi sasa tinayaona hapa bongo.. hii couple imetokea kupendwa na wengi kwani huko kwwnye mitandaoya kijamii watu wwngi wanatoa maoni ya kuwapongeza.