KAJALA
WEMA NA KAJALA
KAJALA NA TATOO YENYE JINA LA WEMA
Haya mambo yamekua mambo, kwa mujibu wa wambea wa huko kwenye mtandao wa instagram eti Kajala ambae ni rafiki mkubwa wa muigizaji Wema sepetu naskia kaanza kutembea na bwana wa zamani wa Wema anayeitwa Clement. bwana huyu alimfanya Wema kutingisha sana mji na pesa alizokua akimuohonga lakini mwisho wa siku Wema alijionea pesa si kitu kwenye mapenzi hivyo akamuacha jamaa na kuamishia mapenzi kwa aliyekua mpenzi wake wa zamani mwanamziki Diamond, sasa siku hizi inasemekana Kajala kaanzisha uhusiano wa kimapenzi na huyo mtalaka wa Wema Clement, na naskia Clement kamnunulia Kajala gari aina ya BREVIS, na eti hii ndio sababu siku hizi Wema na Kajala hawaonekani tena pamoja kila mmoja kawa kivyake vyake Wema yupo karibu zaidi na muigizaji mwenzake Aunt Ezekiel. MJINI KUNA KAZI JAMANI........
No comments:
Post a Comment