Saturday, March 8, 2014

RAY KIGOSI NA TONTO DIKEH WA NIGERIA NGOMA DROO

TONTO DIKEH NIGERIA


              RAY KIGOSI TANZANIA


Ray Kigosi ni msanii wa Tanzania nafikiri anashika namba mbili kwa kazi zake kununulika sana, pia Tonto Dikeh ni msanii wa maigizo Nigeria na yeye yupo juu sana, wasanii hawa wamekua wakifanan kwenye jambo moja katika uigizaji wao, yani hawa watu ukitazama movie zao kiukweli wanajua kuigiza na wanavutia sana, lakini tatizo kubwa walilonalo ni swala Zima la ku shout badala ya kuongea, yani kama hujaangalia movie zao embu tazama utaniambia, yani utakuta labda wanaongea au wanagomba basi wenyewe ni ku shout hapo ndo wamegomba, au wakiwa wanaongea kawaida badala ya kuongea basi wanashout, sasa huwa najiuliza na sipati jibu, hili ni tatizo au ndo walivyo zaliwa, yani au mpaka nje ya movie ndo waliivyo,    

No comments: