Wednesday, March 26, 2014

MASANJA MKANDAMIZAJI WA ZE COMEDY AMJIBU DIAMOND PLATNUMZ

dd
Wengi wenu nadhani mnalijua lile gari alilokua analingishia msanii Diamond ambaye ni mwanamziki ghali sana bongo, na baadae ikaja kujulikana kumbe lile gari sio la Diamond ni la PEDEJEE CHIEF KIUMBE. basi sasa, msanii wa kikundi cha ZE COMEDY anayeitwa MASANJA MKANDAMIZAJI kanunua gari kama hilo hilo na hili ni la kwake mwenye hajapewa na chief kiumbe wala chief viumbe.

No comments: