Friday, March 14, 2014

EMBU JIONEENI UFUSKA HUU




hawa ni wasanii wanaochipukia wa filamu, inavyosemekana hapo wapo location, lakini badala ya kufanya kazi iliyowapeleka wako busy na ufuska jambo ambalo ni hatari kwenye tasnia nzima ya filamu kwani wanaichafua na pia ni hatari kwa afya zao.



sasa haileweki mambo wanayoyafanya ni kuiga mfano kwa wale walioko kwenye sanaa muda mrefu ambao nao kila kukicha wanalalamikiwa, au ni kutaka umaarufu kunuka wa fasta fasta.




KWA HALI HII MABINTI HAWA WATAFIKIA LEVEL YA LUPITA NYONGO KWELI.





No comments: