WAHUU
LUPITA NYONG'O
Wengi nadhani wanamfahamu mwanamziki maarufu wa Kenya anayeitwa Wahuu ambaye pia ni mke wa mwanamziki Nameless wa huko huko Kenya, basi bwana, kwa wale ambao hawaijui hii ngoja niwaelezee, muigizaji Lupita Nyong'o ambaye anang'aa sana Hollywood mwenye asili ya Kenya, kabla hajawa star kama alivyo sasa, alikua akijishughulisha na maswala ya sanaa ya maigizo huko Kenya kwao lakini pia ni director mzuri tu wa miziki. na moja ya mziki alioudirect na ukafanya vizuri sana ni huu wimbo wa Wahuu unaoitwa EVERY LITTLE THING YOU DO. hivi kuna aliyedhani jamani kwamba Lupita ndo aliyeudirect huo wimbo? anyway ujumbe huo NO MATTER WHERE YOU ARE FROM YOUR DREAMS ARE VALID.
No comments:
Post a Comment