Saturday, March 8, 2014

LULU MICHAEL NA PICHA YA MAHABA, MASHABIKI WAMTAKA AKIMBIE FASTA ARUDI DARASANI







kufuatia picha hii kusambaa mitandaoni, muigizaji wa kike mdogo lakini mwenye mambo makubwa Lulu ambaye anamiaka 18, watu wamemtaka Lulu kuachana na mambo kama haya hasa kwa kujiweka hadharani kufwatia matatizo yaliyomkuba hivi karibuni na kumfanya akakae mahabusu karibu mwaka mzima, lakini pia wengi wamemshauri kurudi shule kwani umri wake wa miaka 18 ni mdogo sana hata akitaka kurudia form one ni sawa tu, Lulu anahusishwa na mambo mengi ya wanaume huku wengine wakisema ana buzi tajiri la mererani, wengine anatembea na boss wake basi ilimradi tu,

No comments: