Saturday, March 8, 2014

RAY KIGOSI NA MOVIE YA WANANDOA.....HARD PRICE






Kwenye hii movie kuna mschana anayeitwa Angel kacheza kama mschana aliyepewa mimba na Ray na kumzalia motto wa kiume na wa pekee Ray, mschana huyu sio maarufu ila kajitahidi sana sana kucheza kwakweli nimempenda sana, pia Jackline Wolper yupo na Ray mwenyewe kakamua vizuri kabisa, ni movie nzuri sana yenye mafundisho hasa kwa wanandoa.

No comments: