Saturday, March 8, 2014

JACKLINE WOLPER ASEMWA KUJIPENDEKEZA KWA LULU MICHAEL





Eti mashabiki wa wasanii hawa wanasema kwamba muigizaji Jackline Wolper anajipendekeza kwa Lulu ambaye ni muigizaji mwenzie pia, msemo huo umetokana na hizi siku za karibuni ambapo Jackline kachachamaa ku like picha za Lulu instagram na pia imefikia hatua mpaka analinganisha picha ya nguo ambayo lulu kavaa inafanana na yake, wengi wameshangaa ukaribu huo umeanza lini ikizingatiwa kwamba Wolper hakuwahi kua karibu na Lulu kipindi anamatatizo yaliyopelekea kufungwa, Lulu ambaye ni mdogo sana kiumri kwa Wolper ameombwa kua muangalifu kwani urafiki wa Bongo movie siku zote huwa ni wa kinafki na mwisho huishia kwenye magazeti na kashfa za kuibiana mabwana. ni hayo tuu

No comments: