Saturday, March 8, 2014

NDOA YA WEMA SEPETU NA DIAMOND YANUKIA.


   Kwa mujibu wa mtabiri mahiri anayeitwa Maalim, inasemekana kwamba ametabiri ndoa ya Wema Sepetu na Diamond na ametabiri kwamba ndoa hii itakua ni ya kifahari sana. lakini pia kasema kwamba wawili hawa watakua na tabia ya kuachana na kurudiana kama ilivyo kawaida yao mpaka pale watakapofunga ndoa ya kukata na shoka. Wema ni muigizaji first class bongo na Diamond ni mwanamziki expensive Bongo.
                                     WEMA NA DIAMOND



                                         WEMA SEPETU

No comments: