Wednesday, March 26, 2014

WEMA SEPETU LEO MAMBO YAMEIVA


Kama unavyoiona hiyo picha hapo juu ni ya cover la movie mpya ya Wema Sepetu inayoitwa MADAME, yani kwenye hii movie kinachonichekesha ni kwamba, Wema kajiigiza mwenyewe kabisa, gubu lake lipo, upendo upo, matata yapo, yani ukiiona hii movie ni Wema mtupu akiwa kakasirika, ila licha ya kwamba kaigiza sana kama madame gubu lakini pia maisha yake halisi muda mwingi anaupendo sana na waliomzunguka japo akicharuka anabadilika haswaa

No comments: