Saturday, March 29, 2014

WAMAMA WANAOTINGISHA NIGERIA

CLARION CHUKWURA.hapa akiwa mnene


CLARION CHUKWURA



hapa chini CLARION CHUKWURA akiwa kajikondesha.

wa hapa chini ni NGOZI EZENOU, hapa akiwa mnene

na hapa chini NGOZI akiwa kajikondesha kwelikweli



NGOZI akiwa kajikondesha

hawa wote ni waigizaji wa Nigeria, wamama warembo wanaokwenda na wakati na hawataki kujiachia kua wanene,

Thursday, March 27, 2014

JOHARI APATA WA KUMRINGISHIA RAY KIGOSI


hii picha hapo juu ni Johari ambaye alikua na uhusiano na muigizaji mwenzie na partner mwenzie kwenye kampuni Ray, Ray na Johari wamekua pamoja kipindi kirefu sana mpaka hivi sasa ambapo kila mmoja anampenzi mwingine, Ray ndo aliyemuacha Johari kaamua kua na mwanadada Chuchu ambaye pia ni muigizaji, Johari nae kaamua kujiweka kwa promota wa mziki anayesifika kwa dharau nyingi Ustadhi Juma.

Ray

Hapa Ray yuko na mpenzi wake wa sasa anayeitwa Chuchu Hans

KA LULU MICHAEL BWANA



tunajua fika kwamba bongo movie wanapenda nguo fupi, lakini kwa leo LULU hajapendeza,tafuteni watu wawasaidie kuwapangia mavazi .

WEMA SEPETU HATAKI PESA, HATAKI CHOCHOTE YE ANAMTAKA DIAMOND TU.


Kaiweka hii picha jana na maneno hayo ya kichwa cha habari ndo aliyotiririka INSTAGRAM

Wednesday, March 26, 2014

SHILOLE JAMANI ANAKABEMENDA KATOTO KA WATU



hapa chini Shilole anakifundisha mambo ya kikubwa kitoto cha watu



                                                SHILOLE
clip_image001[10]
Haya jamani hivi sasa Shilole au jina linguine ni mama wa viserengeti boys, hivi sasa anatoka na kiserengeti kingine kinaitwa Nouh au kama kinavyojulikana kwenye jina lake la kisanii Mziwanda, ni kimwanamziki hicho kisere,  SHILOLE NI MAMA WA WATOTO WAWILI, NI MKUBWA KWA HUYO NOAH, NA AMESHAKUA NA SKENDO CHAFU NYINGI.

WEMA SEPETU LEO MAMBO YAMEIVA


Kama unavyoiona hiyo picha hapo juu ni ya cover la movie mpya ya Wema Sepetu inayoitwa MADAME, yani kwenye hii movie kinachonichekesha ni kwamba, Wema kajiigiza mwenyewe kabisa, gubu lake lipo, upendo upo, matata yapo, yani ukiiona hii movie ni Wema mtupu akiwa kakasirika, ila licha ya kwamba kaigiza sana kama madame gubu lakini pia maisha yake halisi muda mwingi anaupendo sana na waliomzunguka japo akicharuka anabadilika haswaa

MASANJA MKANDAMIZAJI WA ZE COMEDY AMJIBU DIAMOND PLATNUMZ

dd
Wengi wenu nadhani mnalijua lile gari alilokua analingishia msanii Diamond ambaye ni mwanamziki ghali sana bongo, na baadae ikaja kujulikana kumbe lile gari sio la Diamond ni la PEDEJEE CHIEF KIUMBE. basi sasa, msanii wa kikundi cha ZE COMEDY anayeitwa MASANJA MKANDAMIZAJI kanunua gari kama hilo hilo na hili ni la kwake mwenye hajapewa na chief kiumbe wala chief viumbe.

Monday, March 24, 2014

ILE MOVIE YA THINK LIKE A MAN PART TWO YAKE IMESHATOKA















Ndani ya movie hiyo ambayo ime base kwenye kitabu cha Steve Harvie, imejumuisha mastar kibao kama unavyowaona hapo juu Kevin Hart ndani, Megan Good, Taraj P Henson ndani, Lala Anthon ndani, Terrence ndani , na bila kusahau mamaa GABLIELA UNION.

Sunday, March 23, 2014

JAKLINE WOLPER NA KASHFA YA KUNUKA MWILI. ETI ANAJIPAMBA NJE NDANI MMHHH




Msanii Jackline Wolper ambaye ni mrembo kwelikweli jana amechambwa vilivyo kwenye mtandao wa instagram na mashoga zake, mashoga hao wamekasirishwa na kitendo cha Jackie kumuibia bwana rafiki yake anayeitwa Husna, hivyo watu hao wakawa wanasema sio vizuri Jackie kumtendea mwenzke hivyo na pia wakaanza kusema kwanza Jackie hua hakai na mwanaume kwasababu ananuka .........., eti wakaanza kusema wanaume wote wanaotemea na Jackie huwa wanaishia kumtangaza kua ananuka......... na hmuacha muda mfupi baada ya kutembea nae, wengine walikua wakisema kinachomponza kunuka ni hayo makucha marefu anayoyabandika masaa 24 kwani kukaa na makucha kama hayo ni wazi kabisa kutakufanya ushindwe kujifanyia usafi vizuri. haya ndo hiyo kumbe SI KILA KING'AACHO NI DHAHABU.

Friday, March 21, 2014

WEMA SEPETU NA KAJALA BEEF ZITO LA KUSHARE BWANA

                              KAJALA



               WEMA NA KAJALA



               KAJALA NA TATOO YENYE JINA LA WEMA



Haya mambo yamekua mambo, kwa mujibu wa wambea wa huko kwenye mtandao wa instagram eti Kajala ambae ni rafiki mkubwa wa muigizaji Wema sepetu naskia kaanza kutembea na bwana wa zamani wa Wema anayeitwa Clement. bwana huyu alimfanya Wema kutingisha sana mji na pesa alizokua akimuohonga lakini mwisho wa siku Wema alijionea pesa si kitu kwenye mapenzi hivyo akamuacha jamaa na kuamishia mapenzi kwa aliyekua mpenzi wake wa zamani mwanamziki Diamond, sasa siku hizi inasemekana Kajala kaanzisha uhusiano wa kimapenzi na huyo mtalaka wa Wema Clement, na naskia Clement kamnunulia Kajala gari aina ya BREVIS, na eti hii ndio sababu siku hizi Wema na Kajala hawaonekani tena pamoja kila mmoja kawa kivyake vyake Wema yupo karibu zaidi na muigizaji mwenzake Aunt Ezekiel.               MJINI KUNA KAZI JAMANI........

Tuesday, March 18, 2014

CHIBU DANGOTE AKIMUONGELEA KWA HASIRA WEMA DANGOTE HEBU JIKUMBUSHENI HII.






Kweli mapenzi hayaingiliwi, hawa waliachana kabisa tena kwa mikiki, hivi sasa wanapika na kupakua.  chibu ni Naseeb au diamond, na Wema Sepetu........ kwa wale niliowaacha

IRINE UWOYA NA BATULI NANI MKALI. HEBU WACHEKI KWANZA KABLA

Hawa n wasanii wa bongo movie , wote wazuri ila waliwahi kua na kashfa moja ya kulogana,ilisemekana kwamba eti Irine Uwoya alimloga Batuli ili afe kisanii,


                                                     IRINE UWOYA



                                            IRINE UWOYE

                                                  IRINE UWOYA



                                              BATULI






BATULI

                 BATULI

HAWA WOTE NI MABINTI WAREMBO, HALAFU SASA WANATAKA KUFANANA, KAMA ILE KASHFA YA IRINE KUMLOGA BATULI NI UKWELI INASIKITISHA, KWANZA HAKUNA KITU KAMA KUMLOGA MTU, WASANII WAJUE KIPAJI KINATOKA KWA MUNGU NA UKIONGEZEA NA NIDHAMU NA UCHAPAKAZI NA MALENGO NDIO MWISHO WA SIKU UNAKUA LUPITA NYONGO. ZAIDI YA HAPO HAKUNA