Wednesday, February 18, 2015

EMBU INGIE USOME DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOCHACHAMALIWA NA MZAZI MWENZIE MR TWO SUGU AITWAE FAIZA ALLY





Jamani unaambiwa duniani kina mambo na watu wanastress za valentine ile mbaya. Ni hivi kama wengi mnavyojua mwanamziki diamond week end hii ya Valentine alimpeleka mpenzi wake pamoja na wafanyakazi wote zanzibar. Wakakaa kwenye hotel ya kitalii na wakaenda kutembelea maeneo mbalimbali ya utalii. Eh.watu wakajua atakayeumia kuona yote hayo ni eema. Maskini ya Mungu wema kajikalia kimya na furaha tele na maisha yake.Kumbe kuna mwanamke mwingine ambae aliumia kuhusu hili jambo nnae. Nae si mwingine bali ni Faiza. Inaambowa kupitia page yake ya insta faiza leo kaanza kupost pivha zake za zanzibar na kuelezea kuwa na yeye amewahi kwenda kulala hotel aliyolala diamond nakwamba.wala sio hotel ya bei ghali. kwanza diamond hakuwa hi lutaja gharama alizotumia hukozenji ila mashabiki wake walipiga mahesabu ya faster faster na kiusema kwamba diamond alitumia si chini ya million kimi na tano. Maana aliwalipia watu zaidi wa tano nauli za ndege kula na kulala kwenye hiyo hotel kwa muda wa siku nne huku ikisemekana yeye na zari walilala chumba cha million moja kwa siku. Sasa faiza aliendaga miaka hiyo na mpenzi wake ndo gharama za watu. Wawili akafananisha na gharama za watu kumi. Hii story Iimeandikwa na mdau wa blog nimeicopy na kuipaste himu.

Tuesday, February 17, 2015

WEMA SEPETU NA MUME WA ZARI WAAANZISHA MAHUSIANO YA KIMAPENZI

Inasemekana kwamba Wema hivi sasa ni mpenzi wa mume wa Zari.  Yani Zari kamuacha mumewe kawa na Diamond Mume kikaamuuma nae kamsaka Wema meanzisha mapenzi. Mume wa zari inasemekana ni tajiri sana ndo maana jata imekuwa rahisi kumpata Wema. Na inasemekana  huyo Ivan anamfadhiri wema ili afungue biashara ya kuuza lipstc yenye jina lake.

Thursday, January 29, 2015

INGIA UMTAZAME MWANAMZIKI NAZIZI WA KENYA ALIVYOPUNGUA MWILI WOTE




 Yani Naziz enzi zake alikuwa msela flani hivi lakini sasa hv ni bonge la sister duu.
 Nazizi akiwa na mwanae

Huyo ni mwanamziki wa kenya aliyekuwaga kwenye kundi la necessary noise Nazizi wote mnaomjua nadhanimnakumbuka alivyokuwaga bonge well hivi sasa naziz kafanya diet na mazoezi ya nguvu kapungua kama mnavyomuona kwenye picha. Na mimi naanza kesho ubonge mwisho chalinze mwenzangu

Wednesday, January 28, 2015

SHILOLE AWAOMBA RADHI MASHABIKI

Mwanamziki muigiza shilole juzi inasemekana alimpa kisago kitakatifu boyf wake ambaye ni serengeti boy Nuhu mziwanda. Haikufahamika chanzo cha ugomvi ila tu watu hawakupendezwa kuona shilole anampiga kijana wa watu mbele ya kadamnasi.

HAPPY BIRTHDAY MUHESHIMIWA JANUARY MAKAMBA


Tuesday, January 27, 2015

KILICHOJIRI WEEKEND. ZARI WA DIAMOND AFANYA BIRTHDAY PARTY MWANAE




Hizo ni picha zinazomuonyesha Zari akiwa na wanae pamoja na marafiki wa mwanae wakuwa kwenye magari ya kifahari tayari kwa party

KUBWA LILILOJIRI WEEKEND...DIAMOND.PLATUNZ AWA GUMZO LEADERS.

 Ma meeen Diamond akianza show yake.
 Unaambiwa diamond alivaa viatu vinawaka taa leaders nzima
 tukio kubwa lingine alilofanya Diamond ni kufurumusha mvua ya pesa kwa masmashabiki.unaambiwa.alimwaga pesa kila shabiki aliondoka na nauli

 Hiyo style ya michael jackson ILisababisha shangwe za kufa mtu
 
 Wacheza shooo walipendeza na niwasafi mno
Kuna shabiki wa Diamond na Zari aliamua ku show love kwa njia ya kipekee

GAZETI LA MTANZANIA LAMUOMBA RADHI WEMA SEPETU

Gazeti la mtanzania la week iliyopita liliandika habari ya kwamba muigizaji Wema Sepetu kamshtaki aliyekuwa mpenzi wake Diamond kwamba anamdai.sh million kumi. Fedha hizo zikiwa si za Wema bali ni za taasisi ya mkopo ya vikoba. Eti diamobd alimkopea Wema. Anywa hyo story haikuwa ya kweli na gazeti limeomba radhi.ila kila mtu alikuwa anajiuliza kulikoni Diamond ashindwe kulipa million kumi wakati show yame moja ni zaidi ya million kumi.

Saturday, January 24, 2015

HEBU MCHEKI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOSIMAMISHA KAZI KWA MUDA KWENYE OFISI ZA TIGO





Yani unaambiwa jana Diamond alitembelea ofisi za tigo ikiwa ni katika matayarisho ya show kubwa ya tigo kiboko yao itakayojumuisha wanamziki wengi nchini. Kimbembe kilikuja baada ya Diamond kuingia tu ndani ya ofisi hizo wafanyakazi wote walitoka kama mnavyowaona hapo kwenye picha.

EVE COLLECTION THE BEST DESIGHNER IN TANZANIA.





Hiyo ni red collection ya mbunifu wa mavazi nchini Eve collection. Yani Eve jamani nguo zake no nzuri mno yani nikiletewa sijui wakina gucci mi niko radhi nimchague Eve. Yani hizo nguo nimezipenda mno na hywa akimvalisha star yoyote lazima nguo ipendwe na kila mtu huwa hakosei.

HONGERA SANA JESTINA GEORGE.


Blogger Jestina amefungua duks kubwa la vippdozi hapa bongo. Nampa hongera kwasababu inapendeza unapomuona mwanamkeanajishughulisha na kupiga hatua.

PROF MUHONGO AJIUZULU WAZIFA WAKE LEO.


SIKU YA LEO





Tanzanitemovies blogger Rache kayuni
 msiache kutembelea page ya tanzanitemagic na rachelkayini kwenye instagram.