tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Wednesday, February 18, 2015
EMBU INGIE USOME DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOCHACHAMALIWA NA MZAZI MWENZIE MR TWO SUGU AITWAE FAIZA ALLY
Jamani unaambiwa duniani kina mambo na watu wanastress za valentine ile mbaya. Ni hivi kama wengi mnavyojua mwanamziki diamond week end hii ya Valentine alimpeleka mpenzi wake pamoja na wafanyakazi wote zanzibar. Wakakaa kwenye hotel ya kitalii na wakaenda kutembelea maeneo mbalimbali ya utalii. Eh.watu wakajua atakayeumia kuona yote hayo ni eema. Maskini ya Mungu wema kajikalia kimya na furaha tele na maisha yake.Kumbe kuna mwanamke mwingine ambae aliumia kuhusu hili jambo nnae. Nae si mwingine bali ni Faiza. Inaambowa kupitia page yake ya insta faiza leo kaanza kupost pivha zake za zanzibar na kuelezea kuwa na yeye amewahi kwenda kulala hotel aliyolala diamond nakwamba.wala sio hotel ya bei ghali. kwanza diamond hakuwa hi lutaja gharama alizotumia hukozenji ila mashabiki wake walipiga mahesabu ya faster faster na kiusema kwamba diamond alitumia si chini ya million kimi na tano. Maana aliwalipia watu zaidi wa tano nauli za ndege kula na kulala kwenye hiyo hotel kwa muda wa siku nne huku ikisemekana yeye na zari walilala chumba cha million moja kwa siku. Sasa faiza aliendaga miaka hiyo na mpenzi wake ndo gharama za watu. Wawili akafananisha na gharama za watu kumi. Hii story Iimeandikwa na mdau wa blog nimeicopy na kuipaste himu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment