Inasemekana kwamba Wema hivi sasa ni mpenzi wa mume wa Zari. Yani Zari kamuacha mumewe kawa na Diamond Mume kikaamuuma nae kamsaka Wema meanzisha mapenzi. Mume wa zari inasemekana ni tajiri sana ndo maana jata imekuwa rahisi kumpata Wema. Na inasemekana huyo Ivan anamfadhiri wema ili afungue biashara ya kuuza lipstc yenye jina lake.
No comments:
Post a Comment