kipindi hicho kama sikosei mwaka jana, Wema Sepetu akiwa kajipanga vizuri kwenye kazi zake, alimleta msanii wa movie wa Nigeria OMOTOLA JELADE IKINDE ili azindue movie yake iliyokua inaitwa SUPER STAR, mpaka leo movie hyo haijatua mikononi mwa wananchi na wanachi wameisubiri mpaka wameisahau. WENGI WAMEKUA WAKITOA MAONI NA KUMTAKA MREMBO HUYU KUANZA KUZIACHIA MOVIE ZAKE KWANI NI KIPINDI KIREFU HAJAONEKANA KWENYE MOVIE
No comments:
Post a Comment