Hii movie kwa wale ambao hawajawahi kuiona ni movie nzuri sana inayohusu mambo ya enzi za biashara ya utumwa, movie hii ilitoka mwaka jana mwishoni. Director wa hii movie ni QUENTIN TARANTINO, mastar walioshiriki kwenye hii movie ni pamoja na JAMIE FOX ambaye ndio ameigiza kama DJANGO mwenyewe, pia yumo LEONARDO DE CAPRIO, KERRY WASHINGTON na SAMUEL L JACKSON.
COVER LA MOVIE
JAMIE FOX NA LEONARDO DE CAPRIO
LEONARDO DE CAPRIO
No comments:
Post a Comment